
Ndoto huotwa ili ziandamwe. Maisha yanakusudiwa kuishiwa. Baadhi ya vitabu huandikwa ili visomwe, vipendwe na virithiwe na vizazi.
Mualkemia ni kitabu kimojawapo cha vitabu kama hivi.
Mualkemia ni hadithi ya ndoto ya mvulana mchungaji wa mifugo kutoka eneo la Andalusia, nchini Uhispania. Mvulana huyu anasa ri katika maeneo mengi yakiwemo masoko ya ajabu ya Afrika Kaskazini na baadaye kwenye jangwa nchini Misri. Mualkemia anamsubiri kwenye jangwa hili. Je, ataizimua ndoto yake?
'Vitabu vyake vimekuwa na athari ya kuimarisha maisha kwa mamilioni ya watu' Gazeti la The Times
Mualkemia“ ist die Kisuaheli-Übersetzung von ‚Der Alchimist‘, Paulo Coelhos Meisterwerk, das die mystische Geschichte von Santiago erzählt, einem andalusischen Hirtenjungen, der sich danach sehnt, auf der Suche nach einem weltlichen Schatz zu reisen. Seine Suche führt ihn zu Reichtümern, die viel anders sind - und viel befriedigender, als er es sich je vorgestellt hat. Santiagos Reise lehrt uns die grundlegende Weisheit, auf unser Herz zu hören, Gelegenheiten zu erkennen und zu lernen, die Omen zu deuten, die den Lebensweg säumen, und vor allem, unseren Träumen zu folgen.