
Kaa Mwenye Kujali (Swahili Edition of The Caring Crab")"
Colin die Krabbe, der geschickteste Baumeister am östlichen Flussufer, zögert nie, seinen Freunden zu helfen. Jetzt ist Colin mit seinem eigenen neuen Projekt beschäftigt - einem Gartenpavillon für sein Haus. Doch nach einer Woche harter Arbeit ist der Pavillon seiner Träume immer noch nicht fertig. Noch schlimmer ist, dass eine ungestüme Fischfamilie die Baustelle in Beschlag genommen hat. Der erschöpfte Colin vergräbt sich unter einer Decke und weigert sich, seine Vorhänge zu öffnen. Verwundert berufen Colins Freunde eine Krisensitzung ein - es ist an der Zeit, etwas zu unternehmen.
-----.
Kaa Colin, ambaye ni mwashi mashuhuri zaidi kwenye ukingo wa mto wa mashariki, hakusita kuwasaidia marafiki zake. Baada ya kufanya kazi kwa bidii kwa wiki nzima, lile banda la samawati la bustanini ambalo ni ndoto ya maisha yake bado halijakamilika na jamii ya samaki wenye machachari wametwaa madaraka kwenye eneo la mjengo.
Kwa uchovu, Colin anajifunika kwa blanketi na kukataa kufungua pazia yake. Marafiki wa Colin wanatamaukwa. Mkutano wa dharura unaandaliwa. Ni wakati wa marafiki kuchukua hatua.